V Kweli Tupu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 951
- 528
Mjomba Berkshire ni Reading karibu na London. Huyo jamaa lazima akupige ili apate faida. Mimi nitatoa huduma anayotaka toa bila kuweka cha juu. Nitaku-link na supplier ili uhakikishe bei ya product, alafu nitaku link na shipment company ili ujue kiasi gani unalipa kwa shipment.Mkuu kwema??
Na Tablets za watoto za Wi-Fi na/au za Line zinaweza kupatikana kwa kiasi gani mpaka zafika Dar??