Msaada: Anayejua dawa ya Malaria Sugu!

Msaada: Anayejua dawa ya Malaria Sugu!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Wajamen! Ninasumbuliwa na Malaria isiyoisha. Kila baada ya cku mbili nakunywa dawa za Malaria (metakefin) na hata naweza tumia dawa mseto dozi mbili but where!
So anayejua dawa ya kutibu Malaria sugu naomba anitaarifu.
 
Ni kujikinga dhidi y'all malaria hiyo hakuna dawa nyingine.
 
Wajamen! Ninasumbuliwa na Malaria isiyoisha. Kila baada ya cku mbili nakunywa dawa za Malaria (metakefin) na hata naweza tumia dawa mseto dozi mbili but where!
So anayejua dawa ya kutibu Malaria sugu naomba anitaarifu.
Tafuta dawa ya Kisunni ambazo wanauza zaidi Waislamu. Niliitumia Pasaka ya 2014 na nimeugua mara moja tu Julai, 2017.

Wengi kama sio wote niliowashauri, dawa imewasaidia.
 
Jaribu kutumia neti iliyotiwa dawa ya kuzuia mbu. Fuatilia hizi neti kwenye ofisi za Afya za Wilaya.
 
Wajamen! Ninasumbuliwa na Malaria isiyoisha. Kila baada ya cku mbili nakunywa dawa za Malaria (metakefin) na hata naweza tumia dawa mseto dozi mbili but where!
So anayejua dawa ya kutibu Malaria sugu naomba anitaarifu.

Pole mkuu,
Tafuta mpare anaetokea kijiji cha DUMA-GONJA muulizie kuhusu dawa inaitwa KATHUUNI hii inatoka kwenye kamnyama kamoja ka porini katika utumbo wake,ukiipata malaria itakuwa ni moja ya stori katika maisha yako.
 
Tafuta dawa ya Kisunni ambazo wanauza zaidi Waislamu. Niliitumia Pasaka ya 2014 na nimeugua mara moja tu Julai, 2017.

Wengi kama sio wote niliowashauri, dawa imewasaidia.
Asante mkuu. Zinapatikana wepi? Na ni bei gani kwa kukadiria?
 
Pole mkuu,
Tafuta mpare anaetokea kijiji cha DUMA-GONJA muulizie kuhusu dawa inaitwa KATHUUNI hii inatoka kwenye kamnyama kamoja ka porini katika utumbo wake,ukiipata malaria itakuwa ni moja ya stori katika maisha yako.
Duh! Asante mkuu. Nitarudi Same kuitafuta.
 
Tafuta dawa ya Kisunni ambazo wanauza zaidi Waislamu. Niliitumia Pasaka ya 2014 na nimeugua mara moja tu Julai, 2017.

Wengi kama sio wote niliowashauri, dawa imewasaidia.

Ni dawa gani hiyo sheikh, na bei yake ikoje?
 
Wajamen! Ninasumbuliwa na Malaria isiyoisha. Kila baada ya cku mbili nakunywa dawa za Malaria (metakefin) na hata naweza tumia dawa mseto dozi mbili but where!
So anayejua dawa ya kutibu Malaria sugu naomba anitaarifu.

Pigs drip la quinine-ndio mwisho wa maneno
 
Mkuu kuna mzgo unaitwa ALOEVERA utafute then yalr majani yake yaloweke au yachemshe uwe unakunywa glass 1 kutwa mara 3 kwa siku 7 maralia utaisikia kwnye redio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom