Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Ni kujikinga dhidi y'all malaria hiyo hakuna dawa nyingine.Wajamen! Ninasumbuliwa na Malaria isiyoisha. Kila baada ya cku mbili nakunywa dawa za Malaria (metakefin) na hata naweza tumia dawa mseto dozi mbili but where!
So anayejua dawa ya kutibu Malaria sugu naomba anitaarifu.
Tafuta dawa ya Kisunni ambazo wanauza zaidi Waislamu. Niliitumia Pasaka ya 2014 na nimeugua mara moja tu Julai, 2017.Wajamen! Ninasumbuliwa na Malaria isiyoisha. Kila baada ya cku mbili nakunywa dawa za Malaria (metakefin) na hata naweza tumia dawa mseto dozi mbili but where!
So anayejua dawa ya kutibu Malaria sugu naomba anitaarifu.
Wajamen! Ninasumbuliwa na Malaria isiyoisha. Kila baada ya cku mbili nakunywa dawa za Malaria (metakefin) na hata naweza tumia dawa mseto dozi mbili but where!
So anayejua dawa ya kutibu Malaria sugu naomba anitaarifu.
Asante mkuu. Zinapatikana wepi? Na ni bei gani kwa kukadiria?Tafuta dawa ya Kisunni ambazo wanauza zaidi Waislamu. Niliitumia Pasaka ya 2014 na nimeugua mara moja tu Julai, 2017.
Wengi kama sio wote niliowashauri, dawa imewasaidia.
Duh! Asante mkuu. Nitarudi Same kuitafuta.Pole mkuu,
Tafuta mpare anaetokea kijiji cha DUMA-GONJA muulizie kuhusu dawa inaitwa KATHUUNI hii inatoka kwenye kamnyama kamoja ka porini katika utumbo wake,ukiipata malaria itakuwa ni moja ya stori katika maisha yako.
Ha haa! Nalala kwenye Net mkuu.Jaribu kutumia neti iliyotiwa dawa ya kuzuia mbu. Fuatilia hizi neti kwenye ofisi za Afya za Wilaya.
Tafuta dawa ya Kisunni ambazo wanauza zaidi Waislamu. Niliitumia Pasaka ya 2014 na nimeugua mara moja tu Julai, 2017.