test man JF-Expert Member Joined Aug 13, 2016 Posts 1,014 Reaction score 955 Jan 20, 2017 #1 Mimi ni Mtumishi wa umma, nina shida na hela kama milioni tano au sita. Nnaomba anayejua bank zenye makato ya nafuu isizidi laki moja na sabini kwa miaka sita aniambie ukiacha zile zilizozuuliwa kutoa mikopo kwa watumishi.
Mimi ni Mtumishi wa umma, nina shida na hela kama milioni tano au sita. Nnaomba anayejua bank zenye makato ya nafuu isizidi laki moja na sabini kwa miaka sita aniambie ukiacha zile zilizozuuliwa kutoa mikopo kwa watumishi.
I Islam005 JF-Expert Member Joined Nov 1, 2008 Posts 3,354 Reaction score 3,623 Jan 21, 2017 #3 paybort ni fasta ila makato makubwa
MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,410 Reaction score 8,184 Jan 21, 2017 #4 nenda crdb au nmb