kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,094
- 3,108
Hbarini ndugu, nataka kujua zile machine za kichina za kuweka sh mia 200 ya salafu zinapatikana vipi, nataka mimi ndio niwe mmliki na muendeshaji, uwa naona wachina ndio wanazifunga maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam, sasa naombeni mwenye kujua yafuatayo
1. Upatikanaji wake?
2. Uataratibu wa uendeshaji wake?
3. Kama Tanzania hakuna wanapo ziuza je nje ya nchi kuzinunua ni sh ngapi?
karibuni.
1. Upatikanaji wake?
2. Uataratibu wa uendeshaji wake?
3. Kama Tanzania hakuna wanapo ziuza je nje ya nchi kuzinunua ni sh ngapi?
karibuni.