Msaada anayejua upatikanaji wa mashine za kamari zile za kuweka 200

Msaada anayejua upatikanaji wa mashine za kamari zile za kuweka 200

Mkuu cheki Nyuma hapo nimekoment madhara yake kwa kina. Angalia post ya mwanzo nadhani utaelewa kiasi
Kwanini unamuambia atafute biashara nyingine ..au ni njia za kuwatoa kwenye reli wanaotaka kufanya ili mnaofanya muendelee kula kuku kwa mrija kupitia hio hio biashara?/
 
Wachina gani wanaogawa hela kwq style hio namimi nikachukue dongolo kwao?

Maana kuna jamaa yangu alikuwaga nalo akimaliza trey moja ya elfu 60 commission yake ni 9000. Akimaliza 2 commission ina double na ili umalize tray unatakiwa kuwa na watu kweli kweli
Kweli Kabisa mi nshawahi kuwa nalo, hiyo ndo commission yao
 
Hayoo madude naona Kenya ndo yanapatikana. waliyakataza kama nakumbuka vizuri ukiwa nalo unamiliki mwenyewe ndo utapata pesa.
 
Nicheki nikupe Contact ya direct
Mkuu msaada,. Kuhusu kupata vibali vya kuendesha shughuli za michezo ya kubahatisha alimaarufu bonanza,sloat machine ningependa kujua namna ya kupata baraka ya serikali pamoja na gharama zake?

Natanguliza shukran kwako kaka ,,mshana Jr,,
 
Mkuu msaada,. Kuhusu kupata vibali vya kuendesha shughuli za michezo ya kubahatisha alimaarufu bonanza,sloat machine ningependa kujua namna ya kupata baraka ya serikali pamoja na gharama zake?

Natanguliza shukran kwako kaka ,,mshana Jr,,
Hiyo michezo inasimamiwa na Wizara ya michezo kupitia BAHATI NASIBU ofisi ziko habour view karibu na stesheni.. Kikubwa ni leseni ya biashara na mtaji mashine zipo za kila aina
 
Hiyo michezo inasimamiwa na Wizara ya michezo kupitia BAHATI NASIBU ofisi ziko habour view karibu na stesheni.. Kikubwa ni leseni ya biashara na mtaji mashine zipo za kila aina
Kws hiyo nikimaliza hizo taratib zote mashine nainunulia Tanzania kwamba yapo maduka au mpaka connection
 
MKuu sikushauri Tafadhali... Tumefanya utafiti wa kina madhara Yake ni makubwa Sana katika Jamii... Ni vile hatuna viongozi wenye macho vinginevyo Hii michezo inayozuka Kwa Kasi ya kubahatisha ingeshapigwa marufuku mapema Sana. Lakini kisingizio ni Kodi.
Kws hiyo nikimaliza hizo taratib zote mashine nainunulia Tanzania kwamba yapo maduka au mpaka connection
 
Ndugu nakushauri Jaribu Kufanya shughuli nyingine... Hi Siyo biashara Bali Ni uporaji wa wazi wa Uchumi wetu unaofanywa na Wachina (mabeberu majizi ya kichina) kwa Kushirikiana na Serikali inayowapa vibali bila kuangalia kwa undani shughuli yenyewe kwa kisingizio Cha Kodi. Hapa hakuna kinachozalishwa Bali Ni wizi wa mchana peupe.. !!!

Kama ingenibidi kuwa gaidi Basi kazi yangu ingekuwa Kulipua hizi mashine kabisa zitoke humu nchini. Kwa utafiti niliofanya na Elimu yangu ya Kibaba Ni wazi kabisa Pesa za nchi zinapotea kwenda China kwa Sababu Jaribu kufikiri ile Siyo Huduma ya kijamii mtu aseme amewekeza Bali mtu analeta mashine, Kisha labda mtaji Ni sarafu za thamani labda ya laki tatu(300,000/=) Maanake yule msimamizi atauza kwa wateja(Mazombi ya Kitanzania) Kisha wale wateja watadumbukiza zitaliwa zote Kisha Yule msimamizi atakuwa na Noti..

Ataita wachina watakuja na funguo watatoa zile sarafu Halafu, Watachukua Noti na kumwachia msimamizi ukoko (fedha kidogo) Kisha Sarafu zitaendelea kuuzwa kwa Wateja Tena. Kwa Hiyo mzunguko utaendelea kuwa huohuo... Pesa za nchi zitaendelea kupotea kwa staili hiyo Huku mchina akizibadili kuwa Dola anatuma kwao.

Zinazobaki anakula na kuishi Raha mstarehe humu nchini akiendelea Kuvuna asipopanda. Kuna nchi zimepiga marufuku huu upuuzi lakini kwetu hapa sijui Nani wa kukutoa humu shimoni..Nawaza nijaribu kumuona Mbunge nimshirikishe hili Jambo labda ataweza kusema chochote.
 
Sloat machine
Under gaming board of tz (GBT)
WITH Route operation
Motherboard
Coin selector
Power supply
Madaha

Basi nikikumbuka nacheka mwenyew [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aweee, Mr ling, [emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom