Unawapigia simu , wanakuja wanaangalia eneo, kama wakirizika nalo, wanakupatia mashine,Hbarini ndugu, nataka kujua zile machine za kichina za kuweka sh mia 200 ya salafu zinapatikana vipi, nataka mimi ndio niwe mmliki na muendeshaji, uwa naona wachina ndio wanazifunga maeneo mbalimbali ya jiji la dar es salaam, sasa naombeni mwenye kujua yafuatayo...
Hao ndio wawekezaji kutoka China, ndugu zetu wa damu 🤣🤣Huwezi kupewa umiliki wa zile mashine! Tenda kapewa mchina akishirikiana na watu flani wakubwa tu wa chama cha makinikia!! Usinangaike,utapoteza muda au utapotezwa
Usipotoshe mkuu, ile ni biashara kama biashara nyingine tu, fuata utaratibu unapata leseni, kwani mbona kuna makampuni mengi tu yenye kufanya biashara hiyo Dar? Labda inshu iwe kuzinunua huko kwao kwani naona zote zinatoka china, lakini hapa uki timiza masharti tu unafanya biashara.Huwezi kupewa umiliki wa zile mashine! Tenda kapewa mchina akishirikiana na watu flani wakubwa tu wa chama cha makinikia!! Usinangaike,utapoteza muda au utapotezwa
[emoji23][emoji23]mimi nimeiba 4 ila tatizo zinaisha mizunguko so wana ka remote kakuzungusha kurewind michezo nyuma so imekula kwangu
Sasa hapo katafute remote Chinamimi nimeiba 4 ila tatizo zinaisha mizunguko so wana ka remote kakuzungusha kurewind michezo nyuma so imekula kwangu
Daa una akili sana nimeziweka kwenye bar yangu yanafaida kuliko BIASasa hapo katafute remote China
Sio rahisi , jamaa kasema ukweli , bonanza ni mradi wa wakubwa , na umetapakaa nchi nzimaUsipotoshe mkuu, ile ni biashara kama biashara nyingine tu, fuata utaratibu unapata leseni, kwani mbona kuna makampuni mengi tu yenye kufanya biashara hiyo Dar? Labda inshu iwe kuzinunua huko kwao kwani naona zote zinatoka china, lakini hapa uki timiza masharti tu unafanya biashara.
Kasema anataka amiliki zake mwenyewe kwa kuzinunua na kuzisajiri,. maelezo uliyompa ni ya kukodi.Unawapigia simu , wanakuja wanaangalia eneo, kama wakirizika nalo, wanakupatia mashine,
Utaratibu wa kuiendesha ni wewe muhusika kama unakodi fremu, utalipia kodi , na umeme wewe mwenyewe, wao gawio lao ni 40%, ndio wakija kufungua , pesa wanayoikuta kwenye mashine mtagawana hivyo, wao 60% wewe 40%.chenji watakuachia coins za 120, 000.zikiisha unawapigia simu wanakuja kukupa nyingine.japo kuna wakati wanakuwa wahuni kwenye mgao lakini sio haba.
Mkuu Tafuta Biashara nyinginendio nalitaka mkuu ilo
Wachina gani wanaogawa hela kwq style hio namimi nikachukue dongolo kwao?Unawapigia simu , wanakuja wanaangalia eneo, kama wakirizika nalo, wanakupatia mashine,
Utaratibu wa kuiendesha ni wewe muhusika kama unakodi fremu, utalipia kodi , na umeme wewe mwenyewe, wao gawio lao ni 40%, ndio wakija kufungua.
Pesa wanayoikuta kwenye mashine mtagawana hivyo, wao 60% wewe 40%.chenji watakuachia coins za 120, 000.zikiisha unawapigia simu wanakuja kukupa nyingine.japo kuna wakati wanakuwa wahuni kwenye mgao lakini sio haba.
Yale madude yanauzwa china huko ila ukitaka uyalete bongo uyagawe mitaani lazima upate baraka za Tanzania Gaming Board.Hbarini ndugu, nataka kujua zile machine za kichina za kuweka sh mia 200 ya salafu zinapatikana vipi, nataka mimi ndio niwe mmliki na muendeshaji, uwa naona wachina ndio wanazifunga maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam, sasa naombeni mwenye kujua yafuatayo
1. Upatikanaji wake?
2. Uataratibu wa uendeshaji wake?
3. Kama Tanzania hakuna wanapo ziuza je nje ya nchi kuzinunua ni sh ngapi?
karibuni.