Msaada anayejuwa unywaji wa mafuta alteza

Hiiii
IMG-20190915-WA0012.jpeg
 
Litre 1 kwa kilomita 7-9 mjini, na litre 1 kwa kilomita 10-12 kwa safari ndefu
Ila ili kuipata litre 1 kwa kilomita 9 mjini yakubidi engine iwe ipo vizuri, oil safi, gear box safi la sivyo utaambulia litre 1 kwa kilomita 6 au 7
 
Alteza nyingi ni 6cylinder... Cc ni kuanzia 2000 huko.
Kama ni mafuta zinanyonya bab
 
Asante kwa kutujulisha umenunua gari mkononi, swala la mafuta kula au kunywa labda jukwaa la walevi watajibu
 
Litre 1 kwa kilomita 7-9 mjini, na litre 1 kwa kilomita 10-12 kwa safari ndefu
Ila ili kuipata litre 1 kwa kilomita 9 mjini yakubidi engine iwe ipo vizuri, oil safi, gear box safi la sivyo utaambulia litre 1 kwa kilomita 6 au 7
Thanks kiongoz
 
Unaponunua gari hata kama ni used unapewa user manual angalia humo kuna kila tu, humu utaambiwa mengi sana yatakuchanganya, au fungua Google
User manual mara nyingi huusisha specifications za gari ikiwa mpya na sio used, na kibongobongo huwa tunanunua gari used, sidhani kama yaliyoandikwa kwenye manual yatakua sawa sana na uhalisia na mazingira yetu. Nafikiri majibu ya humu yatakua na uhalisia zaidi kuliko ya kwenye manual au google. Ukitaka ujue hilo fuatilia ulaji wa mafuta wa magari kama grande mark ii, brevis an the like kwenye manual na muulize m'bongo anayetumia magari haya utaona kuna tofauti kubwa sana..
 
Wadau nilikuwa naomba msaada mtu anayejuwa alteza 4 inakulaje mafuta
Hiyo Gari kama ni ya mkononi basi hakuna jibu utakalopata hapa juu ya hizo kilometa likawa sahihi. Sababu ni kua hujui utunzaji wa aliepita ukoje.
 
Nimesoma michango ya watu wengi huku JF wanashauri altezza yenye six ndio economy zaidi sababu ina horsepower ndogo kuliko ile yenye four ambayo horsepower yake ni karibia 200hp bila shaka kwa performance na nguvu hiyo yenye four itaizidi hiyo yenye six ambayo ina 158hp.

Sasa kama unapenda altezza na wewe ni mtu wa kutunisha msuli barabarani basi unashauriwa kuchukua hiyo ya four, ila kama unapenda altezza ila unataka uwe kibahili zaidi kwenye utumiaji wa mafuta basi hiyo ya six itakufaaa.

Unaweza kupata tofauti ndogo tu ya mafuta kati ya hizo gari.

Ila tu kumbuka hizo zote ni altezza usitegemee upate consumption sawa na ist, vitz, raum na magari mengine madogo ka hayo!!
 
Altezza zipo zenye engine 3.

3SGE beams - kwa wale ambao wao wanataka performance without comfortability.
1GFE - Kwa wale wanaotaka comfort na sio perfoamnce
2JZGE - kwa wale wanaotaka vyote! - Hii sio aghlabu kuiona, nyingi zinazokuwa imported ni 1G au 3S

Sasa mkuu hapo hakuna kitu ku save mafuta kwenye mind ya toyota, hapo ni customer base tu. Kwenye suala la mafuta wamekuekeeni IST na wenzake. Once ukichagua akina Altezza, mafuta kwako sio ishu, ishu ni either Comfort, Perfomance au both.

Kwa mleta mada, ili ujue unywaji wa mafuta wa hio Altezza kwenye hio condition, mwaga mafuta yote kwenye tank halafu weka mengine japo ya buku 10, weka kilometre ianze 0, endesha mpaka yaishe gari izime, halafu fanya hesabu KM ulotembea ugawe kwa lita za mafuta ulopata, then utaona kila lita km ngapi.

Roughly, 1 litre to 7km iwe ndio kikomo, ukiona unapiga chini ya 7 mashine kisirani itakuwa
 
Asante kwa ufafanuzi zaid mkuu, ila hizo zenye 2JZGE sio ndio yale ma altezza gita kweli?!
 
Mkuu sevis yake ya oil ikoje mkuu kwa 6

Back
Top Bottom