Habari zenu,
Naombeni msaada anayejuwa zilipo ofisi za Chama Cha Uzazi na Malezi Bora (UMATI) ofisi kuu anipe maelekezo nafikaje hapo mie nipo Gongo la mboto,, Naombeni msaada nahitaji kufika kesho
Braza hizi smatfone tuzitumie japo kidogo nje ya vile tumezoea mf;FB Insta na hata Jf,ukiingia Google Map vyote dunia ya sasa unavipata nimekusaidia hapo ila nadhani hii no head office hapa ina maana utafika mpaka diamond jubilee au utauliza kwa raia ilipo hiyo barabara ya Malik naamini ukiuliza watu watano kwa ukarimu wa Watanzania utakuwa umeshapapata ila wana tawi Temeke Google wanaonyesha chagua pakwenda.
Na namba ya simu umewekewa hapo.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.