Mdugo Member Joined Nov 17, 2017 Posts 55 Reaction score 37 Sep 11, 2019 #1 Samahani wadau.... Naomba kujuzwa mahala au mtu anayenunua mazaga hayo ya kale. Pia, unaweza nivheki PM tukayajenga. Natanguliza shukrani
Samahani wadau.... Naomba kujuzwa mahala au mtu anayenunua mazaga hayo ya kale. Pia, unaweza nivheki PM tukayajenga. Natanguliza shukrani
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Sep 11, 2019 #2 Nanusa harufu ya wale jamaa wa ile hela itume kwenye namba hii
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,970 Reaction score 35,168 Sep 11, 2019 #3 Umechimba kwa muda gani hadi ukazipata?
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Sep 11, 2019 #4 Kama kweli unazo hizo sarafu inasemekana zina madini ya kutosha tembelea sehemu wanakochakata madini/mikufu n.k upige pa. Hapa tytakuonakama tapeli tu
Kama kweli unazo hizo sarafu inasemekana zina madini ya kutosha tembelea sehemu wanakochakata madini/mikufu n.k upige pa. Hapa tytakuonakama tapeli tu
Ng'wanapagi JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 9,116 Reaction score 8,652 Sep 11, 2019 #5 Kuna watu wanatafutwa hapa walizwe
monopoly inc JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 5,256 Reaction score 11,377 Sep 11, 2019 #6 Piga picha kwanza tuzione
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,940 Reaction score 1,055 Sep 11, 2019 #7 Nenda posta ya zamani kuelekea TASSAC jamaa wapo wanauza na kununua.