Msaada: Anayenunua fedha za kale (rupia)

Msaada: Anayenunua fedha za kale (rupia)

Mdugo

Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
55
Reaction score
37
Samahani wadau....

Naomba kujuzwa mahala au mtu anayenunua mazaga hayo ya kale. Pia, unaweza nivheki PM tukayajenga.
Natanguliza shukrani
 
Nanusa harufu ya wale jamaa wa ile hela itume kwenye namba hii
 
Kama kweli unazo hizo sarafu inasemekana zina madini ya kutosha tembelea sehemu wanakochakata madini/mikufu n.k upige pa. Hapa tytakuonakama tapeli tu
 
Nenda posta ya zamani kuelekea TASSAC jamaa wapo wanauza na kununua.
 
Back
Top Bottom