Msaada, anayeweza kumsaidia FIGO ndugu yangu tutamzawadia

Msaada, anayeweza kumsaidia FIGO ndugu yangu tutamzawadia

Haya waungwana. Nashukuru wote waliojitoa kwa hali na mali, wapo waliokuwa tayari kutoa bure na wengine walihimiza maombi. Nawashukuru pia hata wale walioleta vijembe na kejeli.

MGONJWA WETU MUNGU AMEMPENDA ZAIDI, LEO JIONI HII AMETUTOKA DUNIANI. Jitihada zetu hazikufanikiwa kwani hali ilibadirika ghafla kabla hata ya kubadilishiwa figo.

Ahsanteni sana.

Mkuu ndo huyu tuliye muaga leo k.koo? Pale KKKT?
 
Back
Top Bottom