Realbest
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 812
- 300
Chief Mkwawa nihatari namkubali huyu jamaaAsante sana mkuu, shida ilikuwa remote. Baada ya kurekebisha remote inafanya kazi
.
Kwanza anajua inaonyesha nimfatiliaji sana wamambo
Amenishauri mengi sana kupitia ibox
Mnyenyekevu
Siyo mchoyo wa maarifa
Hajikwezi
Jamaa anajua kiukweli