Msaada aneijua vyema biashara ya "underwear" za kike

Msaada aneijua vyema biashara ya "underwear" za kike

Abbyarico

Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
50
Reaction score
43
Nina mtaji wa kutosha lakini ninataka nifanye biashara ya underwear za kike sasa naitaji mtu ambae anaijua vyema biashara hii aweze kutoa mrejesho wa biashara hii.

Kuanzia faida hasara na changamoto zake. Kusudi wengi wapate kuijua zaidi.

Ahsanteni
 
Nina mtaji wa kutosha lakini ninataka nifanye biashara ya underware za kike sasa naitaji mtu ambae anaijua vyema biashara hii aweze kutoa mrejesho wa biashara hii
Kuanzia faida hasara na changamoto zake
Kusudi wengi wapate kuijua zaidi
Ahsanteni
Biashara imetulia faida yake ni mpaka mara 4 ya manunuzi
Unaweza ku compress mzigo mkubwa kwenye nafasi ndogo
Unaweza kuuza za viwango na aina tofauti kuanzia jero mpaka elfu kumi kwa moja
Popote unauza
 
Kwa fasta fasta changamoto hapa ni kulipwa kwa kupewa punani na sio shekeli
 
Hv underware ni chupi ama shumizi ama chupi na shumizi kwa pamoja samahani kuuliza sio ujinga
 
Biashara imetulia faida yake ni mpaka mara 4 ya manunuzi
Unaweza ku compress mzigo mkubwa kwenye nafasi ndogo
Unaweza kuuza za viwango na aina tofauti kuanzia jero mpaka elfu kumi kwa moja
Popote unauza

Sawa mkuu na vipi soko lake linapatikana hasa maeneo ya aina gani??
 
Kwa fasta fasta changamoto hapa ni kulipwa kwa kupewa punani na sio shekeli

[emoji23][emoji23]Utakua hauko sirias na biashara ukisha waza ivyo tu hakuna biashara unaweza fanya maana kila biashara wateja wa kike wanapatikana kwa wingi sana
 
Okey changamoto nimezipokea na wengi mnaonhelea changamoto moja kuu juu ya wanunuzi ambao ni jinsia ya kike sawa nimewaelewa

Swali langu:
Changamoto tumeshaijua je ni kwa njia ipi unaweza kuepukana ili kuweza kushinda changamoto hizi?

‘Kwa maana huwezi kulikimbia tatizo bali ni kulisolve
 
Sie huku kwa mwananyamala mchanga mweusi ukishasema tu 'andawea' tunajua nguo za ndani za kike hatuna mazoea ya kuita za kiume jina hilo
 
Back
Top Bottom