Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara imetulia faida yake ni mpaka mara 4 ya manunuziNina mtaji wa kutosha lakini ninataka nifanye biashara ya underware za kike sasa naitaji mtu ambae anaijua vyema biashara hii aweze kutoa mrejesho wa biashara hii
Kuanzia faida hasara na changamoto zake
Kusudi wengi wapate kuijua zaidi
Ahsanteni
Kwa fasta fasta changamoto hapa ni kulipwa kwa kupewa punani na sio shekeliNina mtaji wa kutosha lakini ninataka nifanye biashara ya underware za kike sasa naitaji mtu ambae anaijua vyema biashara hii aweze kutoa mrejesho wa biashara hii
Kuanzia faida hasara na changamoto zake
Kusudi wengi wapate kuijua zaidi
Ahsanteni
Kwani wee u atumia zipi nianze kumuungisha mtoa madaNaweka kambi😊
Chupi Tena......Naweka kambi😊
Hv underware ni chupi ama shumizi ama chupi na shumizi kwa pamoja samahani kuuliza sio ujingaNina mtaji wa kutosha lakini ninataka nifanye biashara ya underware za kike sasa naitaji mtu ambae anaijua vyema biashara hii aweze kutoa mrejesho wa biashara hii
Kuanzia faida hasara na changamoto zake
Kusudi wengi wapate kuijua zaidi
Ahsanteni
Biashara imetulia faida yake ni mpaka mara 4 ya manunuzi
Unaweza ku compress mzigo mkubwa kwenye nafasi ndogo
Unaweza kuuza za viwango na aina tofauti kuanzia jero mpaka elfu kumi kwa moja
Popote unauza
Ah ndio tunakueleza tuu changamoto hizo. Mie nafanya bodaboda hela inaishia kwenye hizo mbususu zao[emoji23][emoji23]Utakua hauko sirias na biashara ukisha waza ivyo tu hakuna biashara unaweza fanya maana kila biashara wateja wa kike wanapatikana kwa wingi sana
Fungua mikoani,mjini joto wanawake hawavai tena chupi siku hizi,zitakudodeaSawa mkuu na vipi soko lake linapatikana hasa maeneo ya aina gani??