Msaada aneijua vyema biashara ya "underwear" za kike

Biashara zote ni nzuri na zina changamoto.
Mimi binafsi nishafanya biashara ya nguo za ndani kwa miaka 3.
1. Faida ni nzuri ukiuza 3,6, au 12.
Ukisema uuze moja moja changamoto kubwa inakuja kwenye rangi, wengi wanapenda rangi nyeusi na nyeupe. Ukimpa mteja wa kuchagua rangi basi utakula hasara sana maana nying zitabaki na kukudodea.

2. Biashara hii ni nzuri sana ukianzia nayo online.
Tengeneza insta account yako nzuri, inayovutia, tafuta picha nzuri zinazoendana na bidhaa uliyo nayo, alafu kwa chini describe vizuri io chupi ni ya materail gani, size zake alafu wekea insta promotion, utapata wateja wengi.

3. Ukiamua kuwa na frame basi hakikisha ni sehemu ambayo haina vumbi, na nunua zile nylon unavalishia ili zisichafuke.
Maana hamna mteja atakaenunua chupi iliyopigwa na vumbi, display sample tu.

4. Lazima uwe na supporting business
Sio vizuri kuweka mayai yote kwenye chombo kimoja, unaweza uza nguo za ndani na shapewear, night dress, socks ili mtu uongeze kipato.

5. Kama utachukua frame hakikisha muuzaji wako awe mtu mwenye lugha nzuri, mcheshi.
Watu wengi wanapata aibu kununua vitu kama hivyo, kwaio lazima uwe friendly na engaging ili mtu avutiwe kununua.

6.Kwa chupi za kike nunua nyingi ambazo zipo comfortable.
Kuna chupi ambazo hazina soko kabisa, kwasababu nakshi zake sio comfortable, miili ya waTanzania inajulikana, wanawake wengi wana vitambi, sasa ukimletea chupi ambayo akivaa mara imeshuka imekaa vipi utakosa soko. Weka chupi ambazo mtu akivaa anakua comfortable, atakuletea wateja wengine.

7. Kuna chupi ambazo material yake ni spandex, kwa wadada wengi wanazipenda kwasababu hupitisha hewa na zinasaidia sana mtu kutokupata UTI kutokana na joto, pia ni rahisi kufua na ukivaa wadada wakivaa hazionyeshi mistari. Ni product nzuri za kuanza nazo.

8.Ukinunua mzigo wako quality ni muhimu sana, jitaidi usinunue chupi ambazo zina chuja, zinatoka mapele au zinaachia uzi.

Unaweza mpigia huyu 0715987064 ni muuzaji mkubwa wa chupi jumla na rejareja au 0713830872 au 0787384337

Kama unaanza ni bora uchukue mzigo hapa ili uweze ku master vizuri biashara, ubaya wa kuanza na kuagiza mzigo ni size, unaweza letewa chupi size zake yani itabidi ukauzie watoto, pia quality.
Soko la chupi usiangalie price angalia quality na durability ya hio chupi ya kiume au ya kike.
 
Dah mkuuu hakika nimekuelewa sana sijui hata nikwambie nini ngoja nimtafute huyu mwenye hii namba nashukuru sana kwa maelezo yako mazuri hakika wengi watajifunza kupitia hii
 
Na vipi mkuu ili uone maendeleo mazuri kwa flame maximum uwe na mtaji kuanzia kiasi gani??
 
Okey changamoto nimezipokea na wengi mnaonhelea changamoto moja kuu juu ya wanunuzi ambao ni jinsia ya kike sawa nimewaelewa
Swali langu:
Changamoto tumeshaijua je ni kwa njia ipi unaweza kuepukana ili kuweza kushinda changamoto hizi???
‘Kwa maana huwezi kulikimbia tatizo bali ni kulisolve
Changamoto wanunuzi huagalia anaeuza nijinsia gani wamama hupenda wakute mwanamke mwenzao ukiwa nimwanaume huwapati wateja labda mabinti
 
Na vipi mkuu ili uone maendeleo mazuri kwa flame maximum uwe na mtaji kuanzia kiasi gani??
3 million at least japo unaweza kuanza na chini ya hapo, ila ili mteja akija apate option zote, pia ulipe kodi, upendezeshe frame, etc etc
 
Biashara zote ni nzuri na zina changamoto.
Mimi binafsi nishafanya biashara ya nguo za ndani kwa miaka 3.
1. Faida ni nzuri ukiuza 3,6, au 12.
Ukisema uuze moja moja changamoto kubwa inakuja kwenye rangi, wengi wanapenda rangi nyeusi na nyeupe. Ukimpa mteja wa kuchagua rangi basi utakula hasara sana maana nying zitabaki na kukudodea.

2. Biashara hii ni nzuri sana ukianzia nayo online.
Tengeneza insta account yako nzuri, inayovutia, tafuta picha nzuri zinazoendana na bidhaa uliyo nayo, alafu kwa chini describe vizuri io chupi ni ya materail gani, size zake alafu wekea insta promotion, utapata wateja wengi.

3. Ukiamua kuwa na frame basi hakikisha ni sehemu ambayo haina vumbi, na nunua zile nylon unavalishia ili zisichafuke.
Maana hamna mteja atakaenunua chupi iliyopigwa na vumbi, display sample tu.

4. Lazima uwe na supporting business
Sio vizuri kuweka mayai yote kwenye chombo kimoja, unaweza uza nguo za ndani na shapewear, night dress, socks ili mtu uongeze kipato.

5. Kama utachukua frame hakikisha muuzaji wako awe mtu mwenye lugha nzuri, mcheshi.
Watu wengi wanapata aibu kununua vitu kama hivyo, kwaio lazima uwe friendly na engaging ili mtu avutiwe kununua.

6.Kwa chupi za kike nunua nyingi ambazo zipo comfortable.
Kuna chupi ambazo hazina soko kabisa, kwasababu nakshi zake sio comfortable, miili ya waTanzania inajulikana, wanawake wengi wana vitambi, sasa ukimletea chupi ambayo akivaa mara imeshuka imekaa vipi utakosa soko. Weka chupi ambazo mtu akivaa anakua comfortable, atakuletea wateja wengine.

7. Kuna chupi ambazo material yake ni spandex, kwa wadada wengi wanazipenda kwasababu hupitisha hewa na zinasaidia sana mtu kutokupata UTI kutokana na joto, pia ni rahisi kufua na ukivaa wadada wakivaa hazionyeshi mistari. Ni product nzuri za kuanza nazo.

8.Ukinunua mzigo wako quality ni muhimu sana, jitaidi usinunue chupi ambazo zina chuja, zinatoka mapele au zinaachia uzi.

Unaweza mpigia huyu 0715987064 ni muuzaji mkubwa wa chupi jumla na rejareja au 0713830872 au 0787384337

Kama unaanza ni bora uchukue mzigo hapa ili uweze ku master vizuri biashara, ubaya wa kuanza na kuagiza mzigo ni size, unaweza letewa chupi size zake yani itabidi ukauzie watoto, pia quality.
Soko la chupi usiangalie price angalia quality na durability ya hio chupi ya kiume au ya kike.
Asante mkuu kwa nondo nzuri sana sana,hizi namba umeweka hapa jamaa wapo sehemu gani?
 
Back
Top Bottom