Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Wametangaza nafasi?
Hapo kwenye tangazo hakuna anwani?
Wametangaza nafasi zipi mkuu?
Hilo tangazo ni fake achana nayo
Maombi yanatumwa kwa njia gani?Fake kivipi kiongozi wakati email waliyoweka kutuma maombi ni ya ofisini kwao ndugu..
Wewe unataka anuani ya nini wakati umeshawekewa email?Fake kivipi kiongozi wakati email waliyoweka kutuma maombi ni ya ofisini kwao ndugu...?
Maombi yanatumwa kwa njia gani?
Wewe unataka anuani ya nini wakati umeshawekewa email?
Ngoja waje kukupa muongozo...
Mambo yamebadilika siku hizi mkuu..unapotuma kitu kwa email huna haja ya kuangaika na hizo P.o Box,,,ww andika.Kwenye email kuna vitu vinaitwa attachments (Viambatanishi), hivi vikiwemo Barua ya maombi ya Kazi, Wasifu wako (CV), pamoja na vyeti vingine vya taaluma.
Kwenye Barua yoyote official natumai address ni muhimu sana kuwepo pale, hivi vyote unaambatanisha kwenye hiyo email unayoisema, sasa utaandikaje Barua ya maombi ya Kazi bila ya kuwa na anuani ndani yake...?
AndikaKwenye email kuna vitu vinaitwa attachments (Viambatanishi), hivi vikiwemo Barua ya maombi ya Kazi, Wasifu wako (CV), pamoja na vyeti vingine vya taaluma.
Kwenye Barua yoyote official natumai address ni muhimu sana kuwepo pale, hivi vyote unaambatanisha kwenye hiyo email unayoisema, sasa utaandikaje Barua ya maombi ya Kazi bila ya kuwa na anuani ndani yake...?
Wametangaza nafasi zipi mkuu?