Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo hivyo mkuuYes inaonyesha kwel
Unatumia Program gani Mkuu, mfano kwenye Simu za Android?Hiyo App ni ya kishamba sana. Binafsi ili kukwepa mtego wa kuitumia, huwa nikitaka kudownload vitu youtube, situmii vidmate
Mbadala wa vidmateMimi nishazifuta nadownload upya torrent movies
haina haja ya kuwa na app ingia kwenye browser yako search www.y2mate.com search video yako chagua resolution then enjoy mkuu
Okay
Hii ni the best sema huwa naisahau tu mkuuKwa kuongezea, pia unaweza kuweka pp baada ya neno youtube pia wakakupeleka ktk download formats kutoka ktk link ya youtube yenyewe.