Umelipia?App ya simba iliyozinduliwa juzi mbona haifunguki au kuna namna ya kuifungua. Tafadhari mulioifungua tupeni njia
Unalipiaje wakati haifunguki ?Umelipia?
Mkuu app ya Simba inafunguka vizuri sana,inawezekana uliyodownload siyo halisi,sina utaalamu ningekutumia hiyo app,pia jaribu kuwa na stable network!Unalipiaje wakati haifunguki ?
Elekeza basi inapatikana vipi.
Kwangu pia haifungiki pesa ipo ya kulipia nafanyeje ?
Mkuu app ya Simba inafunguka vizuri sana,inawezekana uliyodownload siyo halisi,sina utaalamu ningekutumia hiyo app,pia jaribu kuwa na stable network
Hiyo halisi inapatikanajeMkuu app ya Simba inafunguka vizuri sana,inawezekana uliyodownload siyo halisi,sina utaalamu ningekutumia hiyo app,pia jaribu kuwa na stable network!
Nenda page ya simba ya Instagram wameweka link ila yenyew ni iliyoandikwa Simba #nguvumoja App developer ni hebet technologyMwenye link atusaidie
Mwenye link atusaidie
Hiyo halisi inapatikanaje
Nami pia nimekwama kwenye payments, sijui kipi nakosea.kwenye payments inazingua sana
Page ya Simba ya Instagram au Facebook au Twitter?Play Store kuna App nyingi sana zinasoma Simba. Fake zinagoma kufunguka. Nenda page ya Simba iko link itakupeleka App iko poa tu tena fasta
Halisi haisumbui kutuma fedha.Nami pia nimekwama kwenye payments, sijui kipi nakosea.
Insta mkuuPage ya Simba ya Instagram au Facebook au Twitter?
Page ipi hebu fafanua
Hebu Screenshot hiyo page ya insta ya Simba na utuoneshe hiyo APP ya Simba iko sehemu gani.Insta mkuu