Hebu Screenshot hiyo page ya insta ya Simba na utuoneshe hiyo APP ya Simba iko sehemu gani.
Mimi siioni kabisa.
Hebu Screenshot hiyo page ya insta ya Simba na utuoneshe hiyo APP ya Simba iko sehemu gani.
Mimi siioni kabisa.
Hii App imenishinda.
Safi, umekomaa kama mwamedi alivyokomaa na maneno ya takatakaBaada ya kuihangaikia sana sasa nimeipata App ya Simba huko Play Store.
Ya insta ilinishinda.
Watu wa Simba tuna Hekima nyingi. Hatubabaishwi na Viberitingoma.Safi, umekomaa kama mwamedi alivyokomaa na maneno ya takataka