Msaada: APP ya Simba haifunguki

Msaada: APP ya Simba haifunguki

Hakilisha hiyo app ni Simba SC # Nguvu moja.
Nimedownload jana usiku na kuanza kutumia muda huohuo bila usumbufu.
Natumia Samsang"
Isije ikawa aina ya sim ni tatizo.
 
Hebu Screenshot hiyo page ya insta ya Simba na utuoneshe hiyo APP ya Simba iko sehemu gani.
Mimi siioni kabisa.

Adjustments.jpg


Ingia Ista kwa hiyo page fuata hapo juu kwa link nilipozungushia
 
Kwahiyo Simba wanashindwa kufile official compliants kwenda Google kuwa Kuna utitili wa account zisizo za Simba ili zitolewe.


Au Viongozi wananufaika na hizo account zingine feki maana Kuna ambazo Zina Hadi downloads 100,000

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom