Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
Wakuu,kichwa cha habari kinahusika.
Naomba nisaidiwe,kuna ndugu yangu aliugua mwaka 2011 na alikuwa mwaka wa kwanza UDSM.
Hakufanya mtihani wa semister ya kwanza,na kwenye ARIS inaonesha ame Disco as a result of absconding of courses.
Tulipeleka barua zote za hospitali,ila sasa anataka aaply upya vyuo vingine.
1:Je,anaweza kupata admission?
2:Je,anaweza kupata mkopo?
Ahsanteni.

Atalipa 25% mkuu,binafsi nilfanya hvyo na sasa nipo sua baada ya kuacha ardhi!