BobKinguti
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 228
- 87
Jamani wana JF naomba msaada wa activation codes za Limewire pamoja ares softwares!
Natanguliza shukrani!
Natanguliza shukrani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani wana JF naomba msaada wa activation codes za Limewire pamoja ares softwares!
Natanguliza shukrani!
Kinguti,
Pole. Wenye Limewire wameifunga hiyo software kwa sababu walifunguliwa mashtaka na makampuni mbalimbali ya muziki yaliyo Marekani kwamba Limewire inagawa nyimbo zao bure kwa watu kupitia mtandao, hivyo wanawaharibia biashara. Mpaka sasa bado usuluhishi wa kesi haujaisha. Mie mwenye nilikuwa natumia Limewire Professional version 5.1, lakini tangu hiyo kesi ifunguliwe hiyo software hafanyi kazi. Maelezo zaidi yapo hapa. Unaweza kutumia software mbadala za Frostwire au MP3 Rocket. Hizo nazo ni nzuri na zinafanya kazi kama Limewire.