Msaada: Artificial Intelligence whatsapp chat bot

Anonymous77

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2022
Posts
589
Reaction score
1,515
Habari wakuu nimekuja kwenu kuomba msaada wa AI CHAT BOT ambayo inafanya kazi WhatsApp.

Chat bot ambayo unaweza kuitumia ndani ya WhatsApp kama zile chat bot ambazo ziko kule telegram, kama unajua kuunda chat bot ya AI unavyoweza kuitumia WhatsApp naombeni msaada wenu wenu wakuu ila isiwe ya kulipia pia isiwe na limit ya kuuliza maswali iwe huru kuuliza kadri na uwezo wako.

NOTE: Kama unayo chat bot ya AI ambayo inafanya kazi WhatsApp weka link hapa chini nasi wengine tunufaike kwenda kujichotea maalifa mbalimbali.

Thank me later 😊
 
mi niwekee kwanza hiyo ya telegram
 
Tusaidie hiyo Ya telegram
 
Back
Top Bottom