Msaada: Aura mall inapatikana wapi?

Msaada: Aura mall inapatikana wapi?

Radonde

Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
44
Reaction score
45
Msaada ndugu zangu
Kwa anayejua hii mall iko wapi
Naomba anielekeze inaitwa
AURA MALL
 
Ipo hapo Fire( kituo cha mwendokasi) kwa mbele kabla hujakata kwenda barabara ya lumumba kuna jengo kubwa lipo kushoto! au ukifika fire ulizia Aura mall watakuelekeza
 
Back
Top Bottom