Mfano ujenzi nyumba imefika kiwango cha hii picha, Hapo tayari ina bomba za kuja kupitishia wiring ya umeme, mfumo wa bomba za maji safi na maji taka pamoja na shimo la maji taka vipo tayari na tuchukulie pesa ya kumalizia ipo ya awamu awamu.
Naomba kufahamishwa kama kuna mtiririko maalumu wa hatua za ujenzi za kufata zimazopendekezwa kitaalamu, hadi nyumba ikamilike kabisa.
Yaani kipi kianze, kipi kufuate hadi ikamilike kwa maaana ya plaster na skimming, floor, gypsum, grills, milango , allminium, masinki etc. NB sina haraka ya kuhamia kabla haijaisha