Msaada, awamu za ujenzi

Msaada, awamu za ujenzi

Kitumburee

Senior Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
142
Reaction score
88
Nawasalimu wanajamvi,

Mfano ujenzi nyumba imefika kiwango cha hii picha, Hapo tayari ina bomba za kuja kupitishia wiring ya umeme, mfumo wa bomba za maji safi na maji taka pamoja na shimo la maji taka vipo tayari na tuchukulie pesa ya kumalizia ipo ya awamu awamu.

Naomba kufahamishwa kama kuna mtiririko maalumu wa hatua za ujenzi za kufata zimazopendekezwa kitaalamu, hadi nyumba ikamilike kabisa.

Yaani kipi kianze, kipi kufuate hadi ikamilike kwa maaana ya plaster na skimming, floor, gypsum, grills, milango , allminium, masinki etc. NB sina haraka ya kuhamia kabla haijaisha

Wasalaam

PicsArt_08-17-09.29.10.jpg
 
Duh Sasa wew pesa zako unaomba ushauri Tena eti kipi kiaze Anza chochote wew piga plaster hyo nyumba ikiwa tayar umechora nmfumo wa umem
 
Duh Sasa wew pesa zako unaomba ushauri Tena eti kipi kiaze Anza chochote wew piga plaster hyo nyumba ikiwa tayar umechora nmfumo wa umem
 
Ni vyema ukaweka milango na madilisha ya chuma ,ili iwerahisi kuendelea na awamu ya upigaji wa plaster
 
Back
Top Bottom