EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Muongozo nishaupata mkuuNgoja waje kukupa muongozo...
Hata AZAM MAX kupitia channel ya ZBC2 wanaonyesha..jumapili iliyopita niliangalia mechi ya yanga vzr kabisaAzam max hawana hiyo ruhusa ya kuonesha game hizo,hiyo ni kwa ajili ya ligi kuu na michezo mingine,ukitaka ligi ya mabingwa na shirikisho apps zipo nyingi tu,mfano download app ya yacine tv ipo Google then install kuna chaneli nyingi za beIN sports ndio wanaonesha hizo game zote hadi za epl na uefa champions leagueView attachment 2521224
Hata AZAM MAX kupitia channel ya ZBC2 wanaonyesha..jumapili iliyopita niliangalia mechi ya yanga vzr kabisa
Sijui kwanini na nifanyeje kuipataKama Upo Nje ya Nchi ZBC2 haipatikani kwenye App
Sijui kwanini na nifanyeje kuipata
unaziona zbc 2Ninatumia AZAM MAX APP. Inapofika siku za mechi za CAF chaneli zinazoonesha zinaondolewa nakuwa zisizioni tena, afu mechi zikiisha zinarudishwa.
kwa mnaotumia AZAM MAX APP naomba msaada namna ya kuipa ZBC 2 kwa sasa, leo niangalie games za CAF za Simba na Yanga
Haiwezekani kwani haki ya kuonyesha michuano hiyo ni kwa ndani tu ya Tz hata kama unatumia dish la azam na upo nje ya Tz mfano kenya,Rwanda etc ikifika muda wa mechi huwa wanaziondoa kwa muda.Sijui kwanini na nifanyeje kuipata
Nimekupata mkuuHaiwezekani kwani haki ya kuonyesha michuano hiyo ni kwa ndani tu ya Tz hata kama unatumia dish la azam na upo nje ya Tz mfano kenya,Rwanda etc ikifika muda wa mechi huwa wanaziondoa kwa muda.
Ni chanel ipi itakayoonesha mechi ya simba kwa app hiiAzam max hawana hiyo ruhusa ya kuonesha game hizo,hiyo ni kwa ajili ya ligi kuu na michezo mingine,ukitaka ligi ya mabingwa na shirikisho apps zipo nyingi tu,mfano download app ya yacine tv ipo Google then install kuna chaneli nyingi za beIN sports ndio wanaonesha hizo game zote hadi za epl na uefa champions leagueView attachment 2521224
Hii inatumika Tanzania?Azam max hawana hiyo ruhusa ya kuonesha game hizo,hiyo ni kwa ajili ya ligi kuu na michezo mingine,ukitaka ligi ya mabingwa na shirikisho apps zipo nyingi tu,mfano download app ya yacine tv ipo Google then install kuna chaneli nyingi za beIN sports ndio wanaonesha hizo game zote hadi za epl na uefa champions leagueView attachment 2521224
Hawa watu wananitesa mkuu.Kama Upo Nje ya Nchi ZBC2 haipatikani kwenye App
Hii inatumika Tanzania?
wanaonesha hizo mechi je umelipa?kama umelipa na hauoni nenda kwenye social media zao uwaambie wataonesha jinsi ya kufanyaNinatumia AZAM MAX APP. Inapofika siku za mechi za CAF chaneli zinazoonesha zinaondolewa nakuwa zisizioni tena, afu mechi zikiisha zinarudishwa.
kwa mnaotumia AZAM MAX APP naomba msaada namna ya kuipa ZBC 2 kwa sasa, leo niangalie games za CAF za Simba na Yanga
Uzi wa zamani sana mkuuwanaonesha hizo mechi je umelipa?kama umelipa na hauoni nenda kwenye social media zao uwaambie wataonesha jinsi ya kufanya