mwenebhukabo
Member
- Mar 2, 2014
- 24
- 11
Mkuu mwahisheni hospitali, kuna hatari anaweza kupata pneumonia kwa matapishi kuingia katika nja ya hewa. Kama anaweza kunywa maji, chemsheni maji mweke chumvi kidogo na sukari anywe wakati mnakwenda hospitali.Wataalamu naombeni msaada nina mama yangu hapa ametapika sana usiku huu.haumwi na chakula alichokula ndiyo tumekula familia nzima,isipokua kwake yeye imekua tofauti katapika sana.
Ila pia tatizo baada ya kutapika ni kama alivuta kupitia njia ya hewa.sasa hapo ndipo panamsumbua.vinamkosesha raha vinamsumbua sana.japo hajatapika tena.
Je ni njia gani ya kuweza kurejesha hali sawa.hasa baada ya kupita njia ya hewa.
NAOMBENI MSAADA..
Asante kiongozi ngoja tulifanyie kazi.!Mkuu mwahisheni hospitali, kuna hatari anaweza kupata pneumonia kwa matapishi kuingia katika nja ya hewa. Kama anaweza kunywa maji, chemsheni maji mweke chumvi kidogo na sukari anywe wakati mnakwenda hospitali.
Anaongea?Asante kiongozi ngoja tulifanyie kazi.!
Yah anaongea vizuri,vinamkereketa kichwani tu.Anaongea?
Asanteni ndugu nlimpatia huduma ya kwanza na kisha hospitali naona ss hali yake imeimarika!!..Mpeleke Hospital
Pneumonia related with the inflammation of airway cells and lungs cellsMkuu mwahisheni hospitali, kuna hatari anaweza kupata pneumonia kwa matapishi kuingia katika nja ya hewa. Kama anaweza kunywa maji, chemsheni maji mweke chumvi kidogo na sukari anywe wakati mnakwenda hospitali.
Aspiration pneumonia is a lung infection that develops after you aspirate (inhale) food, liquid, or vomit into your lungs. You can also aspirate food or liquid from your stomach that backs up into your esophagusPneumonia related with the inflammation of airway cells and lungs cells