Msaada baada ya kutapika

Msaada baada ya kutapika

mwenebhukabo

Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
24
Reaction score
11
Wataalamu naombeni msaada nina mama yangu hapa ametapika sana usiku huu.haumwi na chakula alichokula ndiyo tumekula familia nzima,isipokua kwake yeye imekua tofauti katapika sana.

Ila pia tatizo baada ya kutapika ni kama alivuta kupitia njia ya hewa.sasa hapo ndipo panamsumbua.vinamkosesha raha vinamsumbua sana.japo hajatapika tena.

Je ni njia gani ya kuweza kurejesha hali sawa.hasa baada ya kupita njia ya hewa.

NAOMBENI MSAADA..
 
Mkuu mwahisheni hospitali, kuna hatari anaweza kupata pneumonia kwa matapishi kuingia katika nja ya hewa. Kama anaweza kunywa maji, chemsheni maji mweke chumvi kidogo na sukari anywe wakati mnakwenda hospitali.
 
Asante kiongozi ngoja tulifanyie kazi.!
 
Mkuu mwahisheni hospitali, kuna hatari anaweza kupata pneumonia kwa matapishi kuingia katika nja ya hewa. Kama anaweza kunywa maji, chemsheni maji mweke chumvi kidogo na sukari anywe wakati mnakwenda hospitali.
Pneumonia related with the inflammation of airway cells and lungs cells
 
Back
Top Bottom