Msaada: Baba mkwe ananiroga

Msaada: Baba mkwe ananiroga

kwa hiyo hii thread umeiandikia chooni au?
 
Jina lenyewe vampire hunter, kwa mfano hapo tuku shauri nini tena? Winda neni tu atakae zidiwa join the enermy.
 
mbona simple tu cha kufanya kila mwezi mpe huyo mkweo nusu ya mshahara wako huenda atakuonea huruma
 
Mh, kumbe huyo baba mkwe wako pia ni member humu, basi nshamfahamu 'TIYARI'
 
Acha urogwe tu kwasababu hakuna namna ingine.... kwanza mwanaume mzima unawezaje kwenda kukaa ukweni wiki mbili?.... Ingawaje najua hii ni hadithi ya uongo
 
Acha ulogwe tu maana hamna namna , una tabia mbaya.
 
Acha urogwe tu kwasababu hakuna namna ingine.... kwanza mwanaume mzima unawezaje kwenda kukaa ukweni wiki mbili?.... Ingawaje najua hii ni hadithi ya uongo
Halafu halitaki kuoga. BabaMkwe kachoka kuvumilia kikwapa maana
Inavyo unekana kulikuwa hakukaliki
 
hahshaaaaaa,muombe msamaha tu ndgu,tofauti na hapo kuna siku utaenda kaxini na boxer tu
 
Huyo babamkwe anashida! Sasa hajui ukiwa na mtoto sharti uwe na mkwe, au alikuwa anafanya mambo mwenyewe nn
 
Back
Top Bottom