Erickford4
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 1,133
- 1,098
mlete kwa YESU anaokoa kama una imani njoo pm nikuunganishe kwa mtumishi wa Mungu naamini ataokolewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana na wewe kumbe umeona hiyo hosp. Yaani ni hovyo sana hawajui kutumia vipimo halafu bei mbaya sana. Hivi huwa hakuna uchunguzi wa ubora wa huduma zap?Tanzania ni hopital chache sana zenye madokta na vipimo vizuri. Nyingi ni hovyo. Kwa mafano kuna hospital moja inaitwa Rabininsia Memorial Hospital ukifanya mchezo na vipimo vyao mgonjwa wako anaondoka. Ina jengo zuri na ukiiangalia kwa nje utadhani ni bonge la hospital, Jaribu matibabu hasa vipimo vyao uone! Maabara yao ina vilaza kishenzi.
Yesu anaponya magonjwa yote, Nitafute kwa msaada zaidi.
Acheni utapeli wenu kabisa.uliona wapi maombi ni dawa. Mpeleke hosp akapate tiba sahihi.maombi ni wizi na kumzidishia maumivu mgonjwamlete kwa YESU anaokoa kama una imani njoo pm nikuunganishe kwa mtumishi wa Mungu naamini ataokolewa
Unampa Habari za Yesu, ila unataka aje sirini! we ni mpuuzi sana, unataka umtapeli?mlete kwa YESU anaokoa kama una imani njoo pm nikuunganishe kwa mtumishi wa Mungu naamini ataokolewa
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Unampa Habari za Yesu, ila unataka aje sirini! we ni mpuuzi sana, unataka umtapeli?
Mbona habari za Yesu wengine wanazitangaza kwa vipaaza sauti ili kila mtu asikie?
Kifafa mkuu hiyo ilimtokeaga dadaake na rafiki yangu na alipona kwa tiba za jadi japo amefariki kwa ugonjwa mwingine kabisa,alikuwa anang'ata na kutafuna hadi mchanga
cc. Mzizi mkavu mshana jr
Tatizo kaanzia ndani ya hiyo miaka 3,Asante kwa ushauri mkuuPole sana, ndugu yangu hapo bila shaka mzee wako atakuwa na convulsions /seizures /Epileps/kifafa
Hiyo inatokana na shida kwenye ubongo ambayo inapelekea ubongo kutoa kiasi kikubwa cha nerve impulse (umeme) bila mpangilio.
Sababu inaweza kuwa ni ugongwa ambao alikuwa nayo tokea utoto lakini ukatulia baada ya kutumia dawa au sababu nyingine ila sasa umerudi tena.
Sababu nyingine inaweza kuwa kitu tunaita SOL(space occupying lesion) kwenye ubongo.
Kitu cha msingi hapo ni kwenda hospitali na kufanya CT scan na EMG, na Nerve conducting studies, ba vipimo vingine kama FBP hapo watajua tatizo haswa linalomsumbua mzee wetu.
Aisee kwa sasa nipo Sogwe,na magonjwa kwa sasa yupo Moshi,ni ngumu kimtafuta pasipo chanzo.asanteKuna jamaa yangu mama yake mdogo alikuwa na tatizo kama hilo kalazwa Muhimbili muda pamoja matibabu mengi bado hukupona haraka.
Jamaa zake wakamshauri ampeleke kwenye maombi sasa hivi majuzi namuulizia vipi mgonjwa hali yake ikoje kwa ssa? akanijibu "usicheze na Yesu" baadaye ndo akanipa mkanda mzima kuwa aliombewa akatapika sana mpaka sasa nimzima kabisa!!
Nilitaka kujua ilivyokuwa kwasababu hali ya mgonjwa nilikuwa naifahamu sema tu jamaa alikuwa na haraka ya safari. Baadaye ndo nikampigia simu akanipa mkanda habari ndefu kuhusu maombi.
Alinitajia jina la Mchungaji aliyemuombea kwamba anaitwa PARAPANDA na kwamba yuko Dar es salaam Tanzania . Japokuwa jina lake linatisha ila kwa vile muhusika anadhibitisha mama yake alipona haina shida.Nakushauri nenda Hospitali lakini pia
Mtafte huyu mchungaji