Mambaenock
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 427
- 107
Baed kuna teaching subjects kama vile history na geog .kwa hiyo mtu huyu anaweza soma masters zinahusiana na history, pia masters zinazohusu jiog
asante mkuu kwa ushauri wako
Habari zenu wana jf
ningependa kujua mtu mwenye degree tajwa hapo juu
anaweza somea masters tofauti na education? Ni masters zipI hizo anaweza soma?
au
anatakiwa asome masters zinazohusiana na education tu? Ni zipi hizo?
nitashukuru sana nikipata ufafanuzi juu ya hilo.
We bana ni mwalimu tu,wacha kutapatapa kwa kutaka kuukacha ualimu.