MSAADA : Bachelor of arts with Education(Baed)

Mambaenock

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
427
Reaction score
107
Habari zenu wana jf
ningependa kujua mtu mwenye degree tajwa hapo juu
anaweza somea masters tofauti na education? Ni masters zipI hizo anaweza soma?
au
anatakiwa asome masters zinazohusiana na education tu? Ni zipi hizo?

nitashukuru sana nikipata ufafanuzi juu ya hilo.
 
Baed kuna teaching subjects kama vile history na geog .kwa hiyo mtu huyu anaweza soma masters zinahusiana na history, pia masters zinazohusu jiog
 
asante mkuu kwa ushauri wako
 
BAED ina uwanja mpna,inahucsha social sciences studies,Arts&Linguistic. so waweza somea Ma yyote ya arts mf. Managt&Admn
 
we ni mwalimu tu labda ukasome masters ya chaki :biggrin1: :biggrin1:😛ound:
 
wwaweza soma MBA,MPM,anything related to Populations studies...............nakadhalia
Habari zenu wana jf
ningependa kujua mtu mwenye degree tajwa hapo juu
anaweza somea masters tofauti na education? Ni masters zipI hizo anaweza soma?
au
anatakiwa asome masters zinazohusiana na education tu? Ni zipi hizo?

nitashukuru sana nikipata ufafanuzi juu ya hilo.
 
We bana ni mwalimu tu,wacha kutapatapa kwa kutaka kuukacha ualimu.
 
Back
Top Bottom