Emory Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 478
- 572
Bilioni moja itatosha endapo majengo/magodowns tayari unayo.
Hii bilioni moja ni kwa ajili ya kununua mitambo tu tena ya wachina.
Inategemea hizo mashine ni za kwa quality gani.wewe ndo unajiita msomi na mtaalamu wa hizi kazi na unadanganya watu kuwa kiwanda cha maji kuanza lazima uwe na bilioni moja eti tena hiyo ni mitambo tu [emoji23] [emoji23] .Sasa mimi nimekuwekea evidence ya complete system na ni dola 55,000 tu.Na sio hesabu za kufikirika ni mitambo ambayo ishakuja Tz na viwanda vinafanya kazi.(viwanda sio kiwanda[emoji23][emoji23])Hiyo hesabu ya viwanda vingapi hebu kadiria toka 2014 unadhani nimeleta complete system ngapi?[emoji1787][emoji1787]Kama hufahamu kitu kiongozi kuwa mpole uelekezwe.Maisha ni uhalisia na sio nadharia
Inategemea hizo mashine ni za kwa quality gani.
Ni sawasawa kwenye magari Kuna mwingine anaamini gari ni BMW,Range rover,Vx,Vogue.
Ukimletea passo au vitz atakwambia ondoa takataka hiyo.
I know huwa wanacopy na kupaste but still quality haziwezi kuwa sawa.niambie wewe hiyo ya bilioni ni ya quality gani?unajua kuwa China kuna viwanda vinazalisha mitambo na vina uza hadi Marekani na Ulaya?Unajua kuwa kuna mitambo inatengenezwa China lakini teknologia ni ya Mjerumani,m Marekani na wengineo?
Nisikilize vzr! Kuna kiwanda cha maji kipya kimatumia European technology kimejengwa na wadenish mahali fulani hapa dsm production ya kwanza labda inaweza anza next week! Hawa jamaa biashara zao ni kujenga viwanda na kuuza! Paper work au certification zooote ziko tayari nikuingia sokoni tuu! Yaani kuanzia brela tra nemc tbs tic no kinauzwa dola za kimarekani 380000 pamoja na majengo na Ardhi! Kama upo tayari njoo nikuunganishe na hawa watu wakuachie utajiriWakuu habari, Ningependa kujua ni budget ya kiasi gani inatakiwa kwenye kuanzisha kiwanda cha maji ya kopo (kama kilimanjaro & uhai) ?
hahaha mkuu acha kunichekesha.Wewe unaringia certificate?Mimi sijasema muuzaji wa hizi mashine. kama huwa unasoma mistari yote ya maandishi niliyoyaandika huko nyuma kwenye huu uzi ungekuwa unafahamu hili.Ndio maana nakwambia unakurupuka kiongozi.Nimekwambia complete system ya kwanza nimeleta Tanzania 2014.Kama nilileta 2014 nilianza kuzifahamu hizi mambo the way back maybe hata kabla hujaenda kutafuta hiyo unayo iita certificate 😂 😂
Nisikilize vzr! Kuna kiwanda cha maji kipya kimatumia European technology kimejengwa na wadenish mahali fulani hapa dsm production ya kwanza labda inaweza anza next week! Hawa jamaa biashara zao ni kujenga viwanda na kuuza! Paper work au certification zooote ziko tayari nikuingia sokoni tuu! Yaani kuanzia brela tra nemc tbs tic no kinauzwa dola za kimarekani 380000 pamoja na majengo na Ardhi! Kama upo tayari njoo nikuunganishe na hawa watu wakuachie utajiri
Wana viwanda gani vingine wanavyo uza?Nisikilize vzr! Kuna kiwanda cha maji kipya kimatumia European technology kimejengwa na wadenish mahali fulani hapa dsm production ya kwanza labda inaweza anza next week! Hawa jamaa biashara zao ni kujenga viwanda na kuuza! Paper work au certification zooote ziko tayari nikuingia sokoni tuu! Yaani kuanzia brela tra nemc tbs tic no kinauzwa dola za kimarekani 380000 pamoja na majengo na Ardhi! Kama upo tayari njoo nikuunganishe na hawa watu wakuachie utajiri
Mkuu unatumia nguvu nyingi kumweka sawa mtu asiyetaka kukaa sawa.niambie wewe hiyo ya bilioni ni ya quality gani?unajua kuwa China kuna viwanda vinazalisha mitambo na vina uza hadi Marekani na Ulaya?Unajua kuwa kuna mitambo inatengenezwa China lakini teknologia ni ya Mjerumani,m Marekani na wengineo?
nikuambie kazi niliyofanya itakusaidia nini?Nimekuonyesha tu hiyo ujue kuwa niko kwenye gemu hii muda mrefu sana so ninavyoviongea navifahamu.umenikosea sana heshima kuniambia sifahamu preforms,ndo mana nimekuweka prefoma invoice ya kazi nimefanya more than two years ago.Kwa taarifa tu complete sytem ya water production nimeleta Tanzania 2014.Ulikuwa wapi by that time? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tujue elimu yako na mkoa unaotoka baada ya hapo tutapenda kujua kabila lako na la bibi upande wa mashangazi kisha utatudokeza umri wako na wa shangazi mdogo upande wa baba.
Hakuna haja kuonyesha unajua mbele ya wasiojua ni kupoteza nguvu na muda
Nikirudi mji ninaokaa nitakutumia information za viwanda hivyo.Sababu catalogue zao zipo home nammi niko mji mwingine kwa sasa hiviUme deal na viwanda vya maji tu au aina zingine pia?
naomba unipm namba na full address yako
unajua lolote kuhusu viwanda vya nondo?
Kwa tz wana deal na viwanda Vya Maji na scaveta na bakhoe Mashine za kutengeneza barabarakama hutajali naomba details za hao watu
ni viwanda vya maji tu au bidhaa zingine?
Kwa tz najua hicho cha maji tuu but wamewekeza nchi nyingine kama Uganda na Asia huko zaidi! Wapo na wanapatikana kirahisiuunaweza onana nao USO kwa usoWana viwanda gani vingine wanavyo uza?
Sasa mbona unasema 140m haitoshi as if unajua? Watu wa JF bana!Mkuu Mimi sipo kiubishi ila nahitaji kujua zaidi.
Mimi sio mfanyabiashara ila mtaalamu wa kwenye viwanda vya kinywaji na nilikuwa na mpango miaka ijayo nianzishe kiwanda changu ndio maana nakuuliza kwa details.
Nikirudi mji ninaokaa nitakutumia information za viwanda hivyo.Sababu catalogue zao zipo home nammi niko mji mwingine kwa sasa hivi
Kwa tz najua hicho cha maji tuu but wamewekeza nchi nyingine kama Uganda na Asia huko zaidi! Wapo na wanapatikana kirahisiuunaweza onana nao USO kwa uso
Wewe kweli n mbu wa dengue[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Zile zinaitwa preforms na sio test tube.
Na hutengenezwa kwa mashine zinazoitwa Injection mold kwa kutumia polymers materials.
So mwenye kiwanda ataamua hizo preforms azitengeneze hapo kiwandani kwake au aagize kutoka kwenye kampuni nyingine.