Msaada: Bajeti ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa inaweza kuwa kiasi gani?

Msaada: Bajeti ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa inaweza kuwa kiasi gani?

Ume deal na viwanda vya maji tu au aina zingine pia?
naomba unipm namba na full address yako

unajua lolote kuhusu viwanda vya nondo?

Contacts za viwanda vya nondo
1.Hannstar industry company Ltd
email-hannstar@hannstarsteel.com
Phone: +8618963009518

2.Liaochong Huajian steel co.,Ltd
Phone:+8613561250256

3.Shandong LY steel co.,Ltd
Phone:+8613326258448

4.Wugang Chang Yu Long industry and trade co.,Ltd
phone:+8615360435102

Hope nimekusaidia mkuu.All the best

unaweza ukanipata kwa email address hii - hurumasabina@yahoo.com
 
mkuu kiwanda kitategemea na facts mbalimbali.Kama
1. filling machine ina capacity kiasi gani,(inajaza chupa ngapi kwa saa).
2.Unnataka tank la ukubwa kiasi ani
3.Blowing machine ina uwezo gani
4.unataka full automated au semi automated
5.labeling machine utanunua au utaprint lables kwa kiwanda kingine
6.utakuwa una pack maji yako kwa nylon (utahitaji shrinking machina) ama utapack kwenye box
..........................

Nimefanyya project na watu tofauti kwa kuwanunulia hiz hii mitambo(complete ) inchini China (Bado nipo huku🙂🙂🙂)
Hii ni moja ya kazi ya mtu mmoja anapatikana Ruvuma.
View attachment 1204932hii ni filling machine

View attachment 1204933hii ni semi automatic blowing machine.Ni ndogo inablowchupa mbili kila muda

View attachment 1204938hili ni tank (dogo)
View attachment 1204940Aliamua kuprint lable China (kwa kuanzia)

kuna vitu vingi ambavyo lazima uvizingatie ili kujua gharama halisi.
Ukitaka kiwanda kinaeleweka ,complete system gharama zinaanzia 50,000$.
(siuzi ila nimefanya project nyingi za hizi mambo View attachment 1204932View attachment 1204933View attachment 1204938View attachment 1204940
kuhusu bei sizijui ila jamaa kama yupo serious a deal na hizi mambo unazomuekea hapa me ni mfanyakazi azam kiwanda flan hapa hapa DSM.. nimeona uliyoyaeleza about 98% ni exactly unayajua na hujabahatisha according to my carrier...
 
Wana viwanda gani vingine wanavyo uza?

Mkuu viwanda au mashine wanazotengeneza ni nyingi hata siwezi maliza kuorodhesha.Nikutajie tu hata mbili labda
1.Machine za kutengeneza paper cups
2.Mashine za kutengeneza vyakula vya samaki (pellet machine) na vyakula vya kuku
3.complete system za kutengeneza mafuta(oil press) kama ya alizeti,karanga,soya etc
4.complete system ya kutengeneza misumari
5.Brick & block forming machine
etc etc
Hope umepata picha
 
kuhusu bei sizijui ila jamaa kama yupo serious a deal na hizi mambo unazomuekea hapa me ni mfanyakazi azam kiwanda flan hapa hapa DSM.. nimeona uliyoyaeleza about 98% ni exactly unayajua na hujabahatisha according to my carrier...

pamoja mkuu
 
Yes mkuu,inakuwa ni kama (test tube za shuleni) kama unaweza kukumbuka mkuu.Hizo ndo zinawekwa kwa machine ya kublow ambayo itakuwa imetengenezwa kluingana na umbo la chupa unayotaka.
Unaweza ukanza na chupa ready made pia
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Zile zinaitwa preforms na sio test tube.
Na hutengenezwa kwa mashine zinazoitwa Injection mold kwa kutumia polymers materials.
So mwenye kiwanda ataamua hizo preforms azitengeneze hapo kiwandani kwake au aagize kutoka kwenye kampuni nyingine.
Mkuu nimesoma mabishano yako na jamaa...kiukweli inaonekana jamaa anajua vitu vingi kukuzidi so iyo imekukera so unajaribu kujitutumua kutafuta sehemu zenye makosa katika maelezo ya jamaa ili isionekane jamaa kakuzidi but unaonekana kituko....jamaa hapo katumia neno "test tube" kama lugha ya kumuelewesha mtu asiyejua apate picha kichwani icho kitu kipoje
 
Sam sijasoma maelezo mengi ila kiwanda cha maji kama $60000 majengo yawe simple, mradi yakubaliwe na TBSna TFD.
Njoo pm kwa maelezo zaidi.
Usiogope ni bidii yako tuu!!
 
Mkuu nimesoma mabishano yako na jamaa...kiukweli inaonekana jamaa anajua vitu vingi kukuzidi so iyo imekukera so unajaribu kujitutumua kutafuta sehemu zenye makosa katika maelezo ya jamaa ili isionekane jamaa kakuzidi but unaonekana kituko....jamaa hapo katumia neno "test tube" kama lugha ya kumuelewesha mtu asiyejua apate picha kichwani icho kitu kipoje
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yes mkuu,inakuwa ni kama (test tube za shuleni) kama unaweza kukumbuka mkuu.Hizo ndo zinawekwa kwa machine ya kublow ambayo itakuwa imetengenezwa kluingana na umbo la chupa unayotaka.
Si hii au?
IMG_20190913_115104.jpeg
 
[emoji115] Hiyo inaweza kutoa mpka Lita moja na nusu na chupa ikawa ni nzito kawaida kabisa.
 
uwe unasoma kwanza kabla huja comment.Hujaona sehemu nilipo andika capacity?Hujaona sehemu niliyo andika kuwa mimi sio muuzaji wala sifanyi kiwandani?Soma kwanza elewa kabla hujaweka maneno yako,itakusaidia
Hii kazi ishakushinda, unapanic nini ? ameomba kuelekezwa wewe unajaa sumu! tukusaidieje sasa kama wewe ndo mtoa taarifa halafu hutaki kuulizwa?
 
Hii kazi ishakushinda, unapanic nini ? ameomba kuelekezwa wewe unajaa sumu! tukusaidieje sasa kama wewe ndo mtoa taarifa halafu hutaki kuulizwa?

Kazi kwani nalipwa?Ukiuliza kwa staha kuna shida gani?Nipanic sababu ya mtu nisiye mfahamu?either mimi ama wewe kuna mtu ana matatizo.
soma kabla hujabwabwaja.Nimeandika capacity ya machine mtu bado ananiuliza capacity.By the way huyo hajaanzisha uzi,all the information nilizoshare zilikuwa kwa ajili ya mwanzisha uzi na watu wenye lengo la kujifunza.Sio wanaojifanya wajuaji na hawajui kitu
 
Hata Mimi imenishangaza kidogo.
Namuuliza swali fupi analeta maelezo mengi,mara atume picha,mara atume video za wachina.
Kama picha na video hata Mimi Niko nazo kwa simu yangu na haiwezi kuwa kigezo Cha utaalamu wangu.
Kweli mkuu, I see kazi ipo,mpaka mtanzania akupe taarifa ya uhakika ili utimize lengo lazima utakuwa ushachoka akili kwa maelezo..
 
Kweli mkuu, I see kazi ipo,mpaka mtanzania akupe taarifa ya uhakika ili utimize lengo lazima utakuwa ushachoka akili kwa maelezo..
Ndio hivyo mkuu ila wasiojua Technical parameters hawatanielewa na kuniona Kama Mimi Ni mkorofi bali wataridhika tu na maelezo ya kisiasa mtu anavyobwabwaja.
 
Mkuu viwanda au mashine wanazotengeneza ni nyingi hata siwezi maliza kuorodhesha.Nikutajie tu hata mbili labda
1.Machine za kutengeneza paper cups
2.Mashine za kutengeneza vyakula vya samaki (pellet machine) na vyakula vya kuku
3.complete system za kutengeneza mafuta(oil press) kama ya alizeti,karanga,soya etc
4.complete system ya kutengeneza misumari
5.Brick & block forming machine
etc etc
Hope umepata picha
hiyo ya misumari complete system kwa makadirio, inaweza simama bei gani?
 
Kazi kwani nalipwa?Ukiuliza kwa staha kuna shida gani?Nipanic sababu ya mtu nisiye mfahamu?either mimi ama wewe kuna mtu ana matatizo.
soma kabla hujabwabwaja.Nimeandika capacity ya machine mtu bado ananiuliza capacity.By the way huyo hajaanzisha uzi,all the information nilizoshare zilikuwa kwa ajili ya mwanzisha uzi na watu wenye lengo la kujifunza.Sio wanaojifanya wajuaji na hawajui kitu
Kwa hiyo humu kwenye forum kuna hatmiliki za nyuzi? mnalipwa kuweka nyuzi? kuweka nyuzi nako ni ufahari? ambao hawajaweka andiko kama lako wote hawajui kitu?

wewe ndo unaleta ujuaji ndo maana unakimbilia kutaja sifa zako za ujuaji.
 
Back
Top Bottom