Msaada: Bajeti ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa inaweza kuwa kiasi gani?

Kwa hiyo ukishaanzisha kitu hutakiwi kuulizwa? kunae shida kichwani mwako unasema tunaleta ujuaji wewe ndo mjuaji bila sababu, ulishindwa nini kumuulekeza aliekuuliza zaidi ya kuleta mbwembwe.
 
Naomba gharama ya mashine ya kutengeneza chakula cha kuku, I mean feed mixer na ya kutengeneza pellets Boss.

Ahsante
 
Mbezi beach Africasana kuna wachina wanauza machine zote complete za kiwanda cha maji
 
Kwa hiyo ukishaanzisha kitu hutakiwi kuulizwa? kunae shida kichwani mwako unasema tunaleta ujuaji wewe ndo mjuaji bila sababu, ulishindwa nini kumuulekeza aliekuuliza zaidi ya kuleta mbwembwe.

hukuona kama nilielekeza kabla hajauliza swali?kuniuliza kitu ambacho nimeshakiandika tayari inamaanisha hukusoma maelezo yote.kama hukusoma maelezo hayo ni matatizo yako binafsi.
 
Naomba gharama ya mashine ya kutengeneza chakula cha kuku, I mean feed mixer na ya kutengeneza pellets Boss.

Ahsante

Bei za machine za pellets zinategemea na uwezo wake.
1.inayotengeneza 30-50 kg/h ni 5,950,000 tsh
2.60-80 kg/h ni 7,050,000 tsh
3.120-150 kg/h ni 7,300,000 tsh
 
Ahsante sana Mkuu, vipi kuhusu feed mixer? Hizo gharama hapo juu ni hadi inanifikia ama?

Hapana.Hizi nibei za huku.Ukitaka hadi kutuma mpaka Dar utaongeza 650k kwa kila machine hapo.Ushuru bandarini utamalizana nao.
Kuhusu bei za mixer hadi nipitie makabrasha yangu mkuu
 
Hapana.Hizi nibei za huku.Ukitaka hadi kutuma mpaka Dar utaongeza 650k kwa kila machine hapo.Ushuru bandarini utamalizana nao.
Kuhusu bei za mixer hadi nipitie makabrasha yangu mkuu
Nitashukuru sana kama ukinipatia pia bei ya hiyo feed mixer boss, Hizi mashine hazina rukuzu 100% kweli?
 
Mr Jr said naomba tuwasiliane please
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38]wewe utanifundisha nini hata jina la preform hujui unaita test tube.
Utawapata maamuma tu ila sio waliopitia kwenye hiyo fani.
We acha upuuzi kubisha tu jamaa kaleta maelezo wengine tujifunze
 
Mkuu nitakusaidia kuanzisha na million kumi na tano tuu,nitakupa mashine semi auto zote.nipigie 0673315821
 

Attachments

  • IMG_20230516_075705_326.jpg
    2.9 MB · Views: 37
  • VID_20231026_131801.mp4
    67.9 MB
  • Screenshot_20231120-133958.jpg
    388.3 KB · Views: 34
Mimi ni mtaalam wa kutengeneza mashine za kuchuja maji,tenki za maji stainless,semi-auto filling station,na kuseti kiwanda kidogo Cha maji ya chupa,mixer tenki za spirit yaani pombe za Gin, mashine ya kujaza pombe za Gin, budget yote ya kiwanda Cha maji ya chupa ni million ishirini na Saba tuu,nipo boma ng'ombe ukitoka arusha kia Boma ng'ombe mawasiliano 0754315821.kazi yetu hii hapa karibu uone mwenyewe
 

Attachments

  • IMG_20240405_104646_535.jpg
    4.2 MB · Views: 27
  • VID_20231026_131801.mp4
    67.9 MB
Mimi sio dalali Kwa hiyo usijali piga simu utazaidika sana tuna mengi mazuri Kwa ajili ya viwanda vidogo, mashine sio shida njoo tuongee kuwa huru.0754315821
 
Mfano wa kiwanda kidogo Cha maji ya chupa lita elfu moja Kwa saa hiking hapo chini ni million ishirini
 

Attachments

  • VID-20240318-WA0004.mp4
    64.4 MB
Hizi hapa ni za kutengeneza spirit Gin,tenki ya maji,mixer tenki, filling station na meza.factory ndogo ya kinywaji pombe vodka karibu wadau zote hizo ni stainless steel tenki Lita elfu moja.budget 19milion.
 

Attachments

  • IMG_20240405_104618_152.jpg
    4.4 MB · Views: 24
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…