Msaada: Bata hawawezi kusimama wanatambaa, wana miezi 2

Msaada: Bata hawawezi kusimama wanatambaa, wana miezi 2

Ukiwap hyo ndani ya siku tatu wanakuwa sawa.Ilishanitokea hiyo
wameanza kutembea normally baada ya kuwapa calcium fort na starter na grower pellets. Bu for quick recovery use direct mineral feeding, nawanywesha calcium fort.....
 
H

Nakazia hapo na kama utapata DCP ya kuchanganya kwenye maji itakuwa vyema zaid kila la heri
nimefanya hivyo na sasa wanatembea. Kwa elimu zaidi nilishauriwa niwape starter na grower maana hivyo vina kila kitu...It works!
 
Back
Top Bottom