Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu ila huyo kwenye picha alikuwa bado hajafa nilimpa chakula na kijiko na vitamin yenye antibiotics na dawa nyingine jina nimesahau nilinunuwa ila ni antibiotic leo ameanza kusimama na kuanza kujaribu kula!Kipindi wapi wadogo ulikuwa unawanyoosha shingo??? Lakini nafikiri uwahi kwa daktari wa mifugo tu mkuu otherwise utawapoteza wote.....
Yah bata mdogo unatakiwa kuwanyoosha shingo, chukua bata mdg tumia mikono miwili mmoja shika shingo mwengine shika shingo then vuta usitumie nguvu zote mpk utakaposikia sauti ya kujinyoosha....Hapana mkuu ila huyo kwenye picha alikuwa bado hajafa nilimpa chakula na kijiko na vitamin yenye antibiotics na dawa nyingine jina nimesahau nilinunuwa ila ni antibiotic leo ameanza kusimama na kuanza kujaribu kula!
View attachment 1232621
Ninao wengi na vifaranga inatakiwa niwa nyooshe shingo mkuu?
Huwa nina wabadilishiaga mkuu ila apo kwenye mifupa nime zembea sana mkuu nimekuwa nikiwapa sana pumba bila kuwa changanyia na virutubisho Mara chache sana Nina wekaga D.C.P !Huwa una wachanganyiaia mifupa na chokaa kwenye chakula hao wana kosa nguvu za miguu na ndo ugonjwa mkubwa wa hata huo... Nenda kwenye maduka ya chakula cha mifugo ulizia hivyo vitu arafu uanze kuwachanganyia kwenye chakula chao pia uwe una wabadilishia maji yao Mara kwa Mara.. Kwa ushauri zaidi muone dokta wa mifugo
Shukran mkuu ngoja leo nijaribu Nina vifaranga wa week 2 na 3[emoji122] Umejaribu tu dawa sawa sikilizia kucheki matokep lakini yakiendelea matatizo mtafute daktari mkuu....Yah bata mdogo unatakiwa kuwanyoosha shingo, chukua bata mdg tumia mikono miwili mmoja shika shingo mwengine shika shingo then vuta usitumie nguvu zote mpk utakaposikia sauti ya kujinyoosha....
Fanya hivo ata mara 2 au 3 kwa week.....
magonjwa ya Bata wakubwa nami hunitesa, hasa ya kushindwa kusimama. Ukitotolesha wadogo tuwasiiane, dawa ipo nitakuelekeza bure.Shukran mkuu ngoja leo nijaribu Nina vifaranga wa week 2 na 3
Duuh kama unao 100 utaweza kweli mkuu?[emoji122] Umejaribu tu dawa sawa sikilizia kucheki matokep lakini yakiendelea matatizo mtafute daktari mkuu....Yah bata mdogo unatakiwa kuwanyoosha shingo, chukua bata mdg tumia mikono miwili mmoja shika shingo mwengine shika shingo then vuta usitumie nguvu zote mpk utakaposikia sauti ya kujinyoosha....
Fanya hivo ata mara 2 au 3 kwa week.....
Ufugaji ni kazi km kazi nyingine mkuu, kama hautoweza ajiri mtu....Duuh kama unao 100 utaweza kweli mkuu?
Niliwaza tu,sijawahi fuga hata bata hawapo kwenye jamii iliyonikuza,so sijui chochote kwenye ufugaji wa bataUfugaji ni kazi km kazi nyingine mkuu, kmhautoweza ajili mtu....
Chukua vikonyo 6-10 (kutegemeana na ukubwa). Twanga vilainike kisha changanya na maji lita 2 weka chombo cha maji wanywe. Kila siku wape dawa fresh kwa siku 5. Waepushe na maeneo yalio lowa umri chini ya wiki 2. Chakula chao usichanganye na maji.Shukran mkuu ninao vifaranga mkuu wa week 2 , 8 wengine wa leo!
Mkuu vikonyo sija vijuwa kabisa !Chukua vikonyo 6-10 (kutegemeana na ukubwa). Twanga vilainike kisha changanya na maji lita 2 weka chombo cha maji wanywe. Kila siku wape dawa fresh kwa siku 5. Waepushe na maeneo yalio lowa umri chini ya wiki 2. Chakula chao usichanganye na maji.
Kitunguu swaumu kina vijitunguu vidogo vidogo, ndio vikonyo hivo. Kitunguu maji viko solid.Mkuu vikonyo sija vijuwa kabisa !
Bata mzinga unao??Shukran mkuu ninao vifaranga mkuu wa week 2 , 8 wengine wa leo!