Msaada: Bata wangu wanakufa, niwapatie dawa gani?

[ ninao wadogo wana wiki sasa je yanipasa kuwanyoosha shingo?QUOTE="kamwamu, post: 33176020, member: 227017"]
magonjwa ya Bata wakubwa nami hunitesa, hasa ya kushindwa kusimama. Ukitotolesha wadogo tuwasiiane, dawa ipo nitakuelekeza bure.
[/QUOTE]
weka kwa faida ya wote
 
Maoni na ushauri mzuri ingawa hujataja ni chanjo gani hiyo anayopewa bata wa siku moja!!Ukienda duka la dawa za mifugo utakuta chanjo za kuku na si za bata!
 
Maoni na ushauri mzuri ingawa hujataja ni chanjo gani hiyo anayopewa bata wa siku moja!!Ukienda duka la dawa za mifugo utakuta chanjo za kuku na si za bata!
Mkuu, bata, kuku, kanga wote ni ndege na chanjo ni hiyo hiyo. Kifaranga akitotolewa anapewa chanjo ya mareks (mahepe) siku ya kwanza, then Newcastle siku ya 7 na gumboro siku ya 14
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…