C code4494 JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 813 Reaction score 1,227 Apr 10, 2017 #1 Habari wana JF, Naombeni kujua bei ya dhahabu kwa gram na mnunuzi anaenunua kwa bei nzuri. Nipo Dsm Nb: Dhahabu mbichi (sio mkufu, hereni au vito vya thamani)
Habari wana JF, Naombeni kujua bei ya dhahabu kwa gram na mnunuzi anaenunua kwa bei nzuri. Nipo Dsm Nb: Dhahabu mbichi (sio mkufu, hereni au vito vya thamani)
nozzah Member Joined Sep 16, 2016 Posts 63 Reaction score 76 Apr 10, 2017 #2 Tola moja kwa bei ya ijumaa 1030000 inategemea na purity yake iko % ngapi..kwahiyo inaweza kuanzia 78000 kwa gram na kuendelea kikubwa ni purity yake
Tola moja kwa bei ya ijumaa 1030000 inategemea na purity yake iko % ngapi..kwahiyo inaweza kuanzia 78000 kwa gram na kuendelea kikubwa ni purity yake
C code4494 JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 813 Reaction score 1,227 Apr 11, 2017 Thread starter #3 unaweza ukanielekeza ni wapi naweza pata mnunuzi kwa dar es salaam?
srinavas JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,195 Reaction score 4,013 Apr 11, 2017 #4 Dsm kumejaa matapeli watupu. kuwa mwangalifu sana
nozzah Member Joined Sep 16, 2016 Posts 63 Reaction score 76 Apr 12, 2017 #5 code4494 said: unaweza ukanielekeza ni wapi naweza pata mnunuzi kwa dar es salaam? Click to expand... Kwa dar soko limekuwa gumu sana baada ya Mnunuzi mkubwa kupata msukosuko .... tofauti na mwanza na dom soko ni 100% uhakika
code4494 said: unaweza ukanielekeza ni wapi naweza pata mnunuzi kwa dar es salaam? Click to expand... Kwa dar soko limekuwa gumu sana baada ya Mnunuzi mkubwa kupata msukosuko .... tofauti na mwanza na dom soko ni 100% uhakika
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 11,541 Reaction score 23,999 Apr 12, 2017 #6 80% kuendelea 75,000/70,000