Msaada: Bei ya dhahabu kwa gram

Msaada: Bei ya dhahabu kwa gram

code4494

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
813
Reaction score
1,227
Habari wana JF,

Naombeni kujua bei ya dhahabu kwa gram na mnunuzi anaenunua kwa bei nzuri.

Nipo Dsm

Nb: Dhahabu mbichi (sio mkufu, hereni au vito vya thamani)
 
Tola moja kwa bei ya ijumaa 1030000 inategemea na purity yake iko % ngapi..kwahiyo inaweza kuanzia 78000 kwa gram na kuendelea kikubwa ni purity yake
 
unaweza ukanielekeza ni wapi naweza pata mnunuzi kwa dar es salaam?
 
unaweza ukanielekeza ni wapi naweza pata mnunuzi kwa dar es salaam?
Kwa dar soko limekuwa gumu sana baada ya Mnunuzi mkubwa kupata msukosuko .... tofauti na mwanza na dom soko ni 100% uhakika
 
Back
Top Bottom