Msaada Bei ya kioo cha PC Used

Msaada Bei ya kioo cha PC Used

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Kuna Pc ina zingua kioo naomba kujuzwa bei ya kioo ised ktk haya maduka ya kkoo
 
Inategemeana na pc mkuu,mana pia vioo vnamikanda tifauti na kuna vinene na slim kma utahtaji waweza kunitumia model au picha ya pc nikakusaidia...
 
mtaa wa kariakoo agrey na likoma utapata uancho kitafuta
 
Inategemeana na pc mkuu,mana pia vioo vnamikanda tifauti na kuna vinene na slim kma utahtaji waweza kunitumia model au picha ya pc nikakusaidia...
15:6 aina ya Pc ni samsung yebo yebo zile
 
Back
Top Bottom