Msaada bei ya pikipiki

Msaada bei ya pikipiki

ndugufred

Senior Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
137
Reaction score
44
Nahitaj kununua pikipiki kwa ajili ya matumiz yangu mwenyewe.Napenda kujua bei za boxer BM150 au platinum ya cc150 kama ipo.Pia process za kuilipia mpk inaingia barabaran ni kias gani?Anayejua bei na huo mchanganuo anisaidie.
 
Back
Top Bottom