Msaada: Bei za viwanja Zanzibar -mkoa wa mjini magharibi

Msaada: Bei za viwanja Zanzibar -mkoa wa mjini magharibi

jobseeker

Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
69
Reaction score
7
habari zenu wanaukumbi.

Nilikuwa nataka kujua kama kuna yeyote kwenye ukumbi huu anaejua average ya bei za viwanja vya nyumba kiziwani Zanzibar katika mkoa wa mjini magharibi pamoja na taratibu za kununua kiwanja zanzibar anielimishe.

asanteni
 
Kuna kingine kilikuwa kinauzwa ml 3. Kimepimwa 70mx70m ni pm nikupe namba ya simu.
 
Vyote vimepimwa, ni kweli hata milioni mbili utauziwa kama mtu amebanwa
 
Back
Top Bottom