Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nauliza ni benk gan inatoa mkopo wa riba nafuu, lakin dhamana yake ina base kwenye group lakin mkopo unatolewa kwa kila memba kwenye kikundi?
Kama uko Dar, nenda Mkombozi Commercial Bank, wako St. Joseph Cathedral (karibu na posta ya zamani).
Jamaa wanatoa mikopo hiyo ya vikundi kwa dhamana ya wanakikundi wa kikundi husika.
Pia benki ya wanawake (TWB) wanatoa mikopo kama hii.