Shozylin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 341
- 699
- Thread starter
- #21
Mkuu mawasilino yangu ya WhatsApp ni 0653214598 Naomba tuwasiliane huko tafadhaliPia njia nyingine ni kuwatangazia wateja wako biashara zao
Kwa Tsh 5000 kwa post ,
Kwa Instagram , huwa wanatoza 5000 hadi 2500
Utatengeneza post kuwa unatangaza biashara , na gharama ni 5000 , pamoja na mawasiliano yako , ili mwenye tangazo akucheki