code_cobar
Member
- Jul 16, 2016
- 96
- 14
Naombeni ushaur kidogo natalajia kuingia chuo 1st yr mwez wa 10 mwaka huu cjajua ntapangiwa wap ila my target ni UDSM na ARU ss nafikiria nikifika chuon nifanye biashara sasa cjajua nifanye biashara gan ambayo haitanipotezea mda wng wa masomo Nina tegemea kuanza na mtaj wa Ml 1...asanten