Jameni kwa ambaye anafahamu naomba msaada kuhusu hii biashara.Naomba kufahamu yafuayayo:-
1.Vifaa vinavyotumika na bei zake
2.Wapi naweza kupata matetials kwa bei nafuu hapa Dar
3.Bei ya kuuza kwa square meter inayoleta faida
4.Changamoto katika hii biashara
Natanguliza shukrani.