Msaada biashara ya chips dar

Ashuraju

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
36
Reaction score
2
Habari zenu wana JF, ninaomba msaada mwenye kujua kuhusu biashara ya chips yaani kibanda cha chips kwa hapa dar. Mtaji ni kiasi gani?na faida yake? Na ushauri wowote katika ili.nitashukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…